Tazama hii kanda ya uhuishaji mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO) inayoelezea malengo kumi ya maendeleo endelevu, lengo nambari nne. Jumuika pamoja na Elyx, balozi wa kwanza wa digitali wa Umoja wa Mataifa, ili ugundue jinsi ya kuhakikisha elimu bora na jumuishi ili na kukuza kujifunza kwa maisha yote.